[Scroll down for the English]
KISWAHILI
Hamjambo Marafiki:
Mmerikani atasimama kuchapisha kwa muda wakati anapotafuta maneno yanayofaa—machapisho sahihi—ya kutumia katika wakati huu wa matukio huko Mediterania ya Mashariki. Machapisho ambayo, kwa namna fulani, yanaweza kuoanishwa na madhumuni ya kuimarisha ya Substack ndogo yake, ilhali haionekani kuwa kiziwi kwa mateso mabaya na yanayoendelea. Ninakushukuru kwa uvumilivu wako na tutaonana tena hivi karibuni.
ENGLISH TRANSLATION
Hello Friends:
Mmerikani will take a pause with posting as she seeks to find the right words—the right posts—to use in this moment of time with events in the Eastern Mediterranean. Posts that, somehow, can align with the edifying purpose of her Substack, while not appearing tone deaf to the tragic and ongoing suffering. I thank you for your patience and we shall see each other again soon.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Self. :)
🕊️
Thank you for letting us know (and for your message in Chat). It’s difficult to know just how to respond to what’s been happening. Waiting patiently for your next post.