A Society Without Writers and Artists is Like....
From Khaled Talib's Little Book of Muses: Inspirational Phrases for Writers
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Jamii isiyo na waandishi na wasanii ni kama kuwa na tambi bila mchuzi.”
- Khaled Talib, mwandishi wa gazeti wa zamani na mtaalamu wa mahusiano ya umma na siku hizi ni mwandishi wa riwaya za kusisimua.
ENGLISH TRANSLATION
“A society without writers and artists is like having pasta without sauce.”
- Khaled Talib, mwandishi wa gazeti wa zamani na mtaalamu wa mahusiano ya umma na siku hizi ni mwandishi wa riwaya za kusisimua.
Asante na tutaonana tena (Thank you and may we see each other again),
Mmerikani
Chanzo (source): Talib, Khaled. The Little Book of Muses: Inspirational Phrases for Writers. Newsline Communications, 2013, location 410. Kindle Edition.