Anne Lamont: A Writer Tries To Be Part of the Solution
Excerpt from Anne Lamont's book, Bird by Bird: Some Instructions on Writing and Life (1994)
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Ili kuwa mwandishi mzuri, unapaswa kuandika sana kabisa, lakini pia unapaswa kujali. Sio lazima kuwa na falsafa yenye changamano ya maadili. Mwandishi hujaribu dawamu, nadhani, kuwa sehemu ya suluhisho, kufahamu kidogo juu ya maisha na kupitishia haya wengine.”
- Anne Lamott ni mwalimu wa uandishi anayejulikana kwa ucheshi wake na mbinu upendo wenye kali, mwandishi wa riwaya wa Marekani na wa vitabu visivyo vya kubuniwa [non-fiction] kujumulisha vitabu vitabu zaidi ya ishirini—na anajulikana kwa uchangamfu kama "Mwandishi wa Watu." Ted Talk yake mnamo 2017 kwenye YouTube iko hapa: "Ukweli wa 12 niliojifunza kutoka kwa maisha na uandishi."
ENGLISH TRANSLATION
“To be a good writer, you not only have to write a great deal but you have to care. You do not have to have a complicated moral philosophy. But a writer always tries, I think, to be a part of the solution, to understand a little about life and to pass this on.”
- Anne Lamott is a writing teacher known for her humor and tough-love approach; American novelist and non-fiction author of over twenty books; she is known warmly as “the People’s Author.” Her Ted Talk on Youtube is here: “12 truths I learned from life and writing.”
Asante na tutaonana tena (Thank you and may we see each other again),
Mmerikani
Chanzo (source): Anne Lamont. Bird by Bird: Some Instructions on Writing and Life. New York: Knopf Doubleday Publishing Group, 1994, page 100 (originally published by Penguin Random House). Kindle Edition.