Anne Lamont: Writing and Reading Decrease our Sense of Isolation
Excerpt from Anne Lamont's book, Bird by Bird: Some Instructions on Writing and Life (1994)
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Kuandika na kusoma kunahafifisha hisia zetu za kutengwa. Kunazidisha na kupanua na kutanua hisia wetu za maisha: kunalisha nafsi.
“Wakati waandishi wanapotushangaza pamoja na usahihi wa nathari wao na ukweli wao, na hata kutuchekesha kuhusu sisi wenyewe au maisha, uchangamfu kipovu wetu unarejeshwa kwetu.”
- Anne Lamott ni mwalimu wa uandishi anayejulikana kwa ucheshi wake na mbinu upendo wenye kali, mwandishi wa riwaya wa Marekani na wa vitabu visivyo vya kubuniwa [non-fiction] kujumulisha vitabu vitabu zaidi ya ishirini—na anajulikana kwa uchangamfu kama "Mwandishi wa Watu." Ted Talk yake mnamo 2017 kwenye YouTube iko hapa: "Ukweli wa 12 niliojifunza kutoka kwa maisha na uandishi."
ENGLISH TRANSLATION
“Writing and reading decrease our sense of isolation. They deepen and widen and expand our sense of life: they feed the soul.
“When writers make us shake our heads with the exactness of their prose and their truths, and even make us laugh about ourselves or life, our buoyancy is restored.”
- Anne Lamott is a writing teacher known for her humor and tough-love approach; American novelist and non-fiction author of over twenty books; she is known warmly as “the People’s Author.” Her Ted Talk on Youtube is here: “12 truths I learned from life and writing.”
Asante na tutaonana tena (Thank you and may we see each other again),
Mmerikani
Chanzo (source): Anne Lamont. Bird by Bird: Some Instructions on Writing and Life. New York: Knopf Doubleday Publishing Group, 1994, page 219 (originally published by Penguin Random House). Kindle Edition.