Barbell Inapaswapo Wima Kabisa Juu ya Katikati ya Mguu
Mark Rippetoe: "The barbell ought to be vertically plumb to the middle of the foot."
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Kila zoezi la vyuma vya mazoezi vyenye mzani usawa [barbells] linalohusisha miguu kwenye chini na kifaa cha chuma hicho kuwa kutegemezwa na mwili litakuwa katika usawa wake bora, wakati wa mwendo na wakati wa kumaliza, wakati kifaa cha chuma hicho kinakuwa wima kabisa juu ya katikati ya mguu….”
- Mark Rippetoe, kocha wa mafunzo ya nguvu, mwandishi, na aliyetangulia mwanainua-nguvu (powerlifter) wa Marekani.
ENGLISH TRANSLATION
“Every barbell exercise that involves the feet on the floor and a barbell supported by the body will be in its best balance, both during the movement and at lockout, when the bar is vertically plumb to the middle of the foot….”
- Mark Rippetoe, strength training coach, author, former American powerlifter.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Rippentoe, Mark. Starting Strength: Basic Barbell Training. 3rd ed. Wichita Falls, Texas: Asgaard, 2011, page 37.
In other words, perfectly balanced. A metaphor for other things in life?
I just started back at the gym, this could not be more timely for me! I was not aware of Rippentoe before, thank you @Mmaerikani!