KISWAHILI
“Mtu mmoja alikuja kwangu baada ya ibada ya kanisa usiku mmoja akasema yeye hapokei Komunyo kwa sababu hajisikii kuwa anastahili na nilisema, lakini je una njaa nayo? pamoja na macho yake yanabubujika machozi akasema ndiyo nikamjibu, basi umefuzu.”
- dondoo kutoka
ENGLISH TRANSLATION
“A man came to me after church one night and said he does not commune because he does not feel worthy and I said, but do you hunger for it? and with wet eyes he said yes and I replied, then you are qualified.”
- excerpt from The Corners by Nadia Bolz-Weber
Kuhusu:
Nadia Bolz-Weber ni Mchungaji wa Kilutheri aliyewekwa rasmi, muundaji na mtangazaji wa The Confessional with Nadia Bolz-Weber, na na mwandishi anayeuza zaidi. Anajielezea kama mtu yule ambaye "sikuzote hukaa kwenye kona na watu wengine wa ajabu."
About:
Nadia Bolz-Weber is an ordained Lutheran Pastor, the creator and host of The Confessional with Nadia Bolz-Weber, and best-selling author. She describes herself as the one who "always sits in the corner with the other weirdoes."
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Bolz-Weber, Nadia. "Hunger” essay from The Corners with Nadia Bolz-Weber on Substack. Accessed July 2, 2023. https://substack.com/@thecorners/note/c-17939798.
//END