Dawa Bila Kushindwa Ambayo Kunisaidia Kuwa na Akili Timamu
Charlie Munger: An ironclad method to stay sane
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Nina kile ninachoita dawa bila kushindwa ambayo hunisaidia kuwa na akili timamu ninapoelea kuelekea kupendelea itikadi kali kuliko nyingine. Ninahisi kuwa sistahili kuwa na maoni isipokuwa naweza kueleza hoja dhidi ya msimamo wangu vizuri zaidi kuliko watu walio wa upinzani.
“Nafikiri ninastahili kuongea wakati tu nimefikia hali hiyo.”
- Charlie Munger (1924-2023) alikuwa mwekezaji bilionea, na rafiki wa muda mrefu na mshirika wa biashara wa Warren Buffett
ENGLISH TRANSLATION
“I have what I call an iron prescription that helps me keep sane when I drift toward preferring one intense ideology over another. I feel that I’m not entitled to have an opinion unless I can state the arguments against my position better than the people who are in opposition.
“I think that I am qualified to speak only when I’ve reached that state.”
- Charlie Munger (1924-2023) was a billionaire investor, and long-time friend and business partner of Warren Buffett
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Kaufman, Peter D., ed. Poor Charlie’s Almanack: The Essential Wit and Wisdom of Charles T. Munger. 4th ed. San Francisco: Stripe Press, 2023, page 296. Kindle edition.
That’s a high bar (that I don’t think I could reach). Something to strive for, though.