[Scroll down for the English]
KISWAHILI
sesquipedalian
-enye silabi nyingi
[ -ehn-yeh see-lah-bee nyin-gee (“g” hutamkwa kama “gari”)]
kivumishi
(juu ya neno) hufaniywa na silabi nyingi
ZAIDI KUHUSU SESQUIPEDALIAN
Ilirekodiwa ya mara kwanza mnamo 1650-60.
Linatokana na neno la Kilatini sesquipedālis, linalomaanisha “kupima futi moja na nusu.”
Sehemu ya kwanza, sesqui-, ina maana ya “moja na nusu,” na pedal, ina maana “ya miguu,” ambayo pia hufanyiza pedestrian, pedicure, and pedal [mtembea kwa miguu, urembeshaji wa kucha za miguu, na kanyagio au pedali], na kama vile “wenzo unaoendeshwa kwa miguu.”
MIFANO YA SESQUIPEDALIAN
Matumizi ya mshairi ya maneno ya sesquipedalian katika beti zao yaliongeza hali ya juu katika kazi zao.
Upendo wa lugha na usemi wake wa sesquipedalian ulimfanya kuwa mzungumzaji wa umma mwenye kuvutia.
ENGLISH TRANSLATION
sesquipedalian
[ ses-kwi-pi-dey-lee-uhn ]
adjective
(of a word) containing many syllables.
MORE ABOUT SESQUIPEDALIAN
First recorded in 1650–60.
Comes from the Latin word sesquipedālis, meaning “measuring a foot and a half.”
The first part, sesqui-, means “one and a half,” and pedal, means “of the feet,” which also forms pedestrian, pedicure, and pedal, as in “a foot-operated lever.”
EXAMPLES OF SESQUIPEDALIAN
The poet’s use of sesquipedalian words in their verses added an air of sophistication to their work.
A love of language and her sesquipedalian speech made her a captivating public speaker.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Dictionary.com. “Word of the Day | sesquipedalian.” Accessed April 5, 2024. https://www.dictionary.com/e/word-of-the-day/sesquipedalian-2024-02-20. A complementary definition of sesquipedalian is at CollinsDictionary.com: https://www.collinsdictionary.com/dictionary/english/sesquipedalian.
Now there's a useful word - in English and Swahili, too, I'm sure!
Not chalked, challenge. (Damned autocorrect😂)