(Early release) Tunavutwa Kurudi Nyota; pia, Nyotamkia ya Nishimura
Eric Hoffer, working-class philosopher: We are drawn to the stars; also, Comet Nishimura
KISWAHILI
"Kushughulika kwetu kwa shauku na mbingu, nyota, na Mungu ambaye yuko mahali fulani katika anga ni msukumo wa kuelekea nyumbani. Tunavutwa kurudi tulikotoka.”
- Eric Hoffer, American longshoreman, philosopher, and author.
Kuhusiana na hilo, Nyotamkia ya Nishimura itakuwa karibu zaidi na Dunia mnamo Septemba tarehe 12, ikionekana kutoka Kizio cha Kaskazini huko saa moja au mbili kabla ya jua kuchomoza, ikiwa utabiri ni sahihi: https://apnews.com/article/comet-northern-hemisphere-nishimura-200f8cc81140387177b3436c4c3a7663.
ENGLISH TRANSLATION
“Our passionate preoccupation with the sky, the stars, and a God somewhere in outer space is a homing impulse. We are drawn back to where we came from.”
- Eric Hoffer, American longshoreman, philosopher, and author.
Relatedly, Comet Nishimura will closest to the Earth on 12 September, visible from the Northern Hemisphere in the hour or two before sunrise, if forecasts hold: https://apnews.com/article/comet-northern-hemisphere-nishimura-200f8cc81140387177b3436c4c3a7663.
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Eric Hoffer (1898?-1983) alipata umaarufu na kitabu chake cha kwanza The True Believer (1951). Kabla ya hapo, na baada ya kuchapisha vitabu kadhaa muhimu vya falsafa, aliendelea tabia yake rahisi na aliishi mazingirini ya watu wa wanaofanyakazi. Alikuwa na hamu kubwa kama msomaji na mwandishi, na vitabu vilikuwa, inasemekana, miliki yake pekee.
ENGLISH TRANSLATION
Eric Hoffer (1898?-1983) became popular with his first book The True Believer (1951). Before that, and during the several philosophical books he later published, he retained his working-class habits and environment. He was a voracious reader and writer, autodidact, and books were, reportedly, his only possession.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Hoffer, Eric. “On the first moon-landing.” New York Times, July 21, 1969. https://timesmachine.nytimes.com/timesmachine/1969/07/21/issue.html.