Epuka Kuongozwa na Vichocheo Potovu Inapowezekana
Charlie Munger: Avoid perverse incentives when possible
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“[Epuka] kuongozwa na vichocheo potovu [inapowezekana]. Hutaki kuwa katika mfumo wa motisha potovu ambao unakutuza ikiwa utatenda kwa upumbavu zaidi na zaidi, au [unakutuza] mbaya zaidi na mbaya zaidi. Vichocheo potovu vina nguvu sana kama vidhibiti vya utambuzi wa binadamu na tabia yaibinadamu hivi kwamba mtu anapaswa kuepuka uvutano wao.”
- Charlie Munger (1924-2023) alikuwa mwekezaji bilionea, na rafiki wa muda mrefu na mshirika wa biashara wa Warren Buffett
ENGLISH TRANSLATION
“[Avoid] being subjected to perverse incentives [whenever possible]. You don’t want to be in a perverse incentive system that’s rewarding you if you behave more and more foolishly, or worse and worse. Perverse incentives are so powerful as controllers of human cognition and human behavior that one should avoid their influence.”
- Charlie Munger (1924-2023) was a billionaire investor, and long-time friend and business partner of Warren Buffett
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Kaufman, Peter D., ed. Poor Charlie’s Almanack: The Essential Wit and Wisdom of Charles T. Munger. 4th ed. San Francisco: Stripe Press, 2023, page 299. Kindle edition.
Hmm. What is a perverse incentive exactly?🤔 How does one recognize a perverse incentive?