Kiswahili:
“Kwa hiyo Yesu alitupa kanuni mpya ya ukuu.
Kama ukitaka kuwa muhimu...jambo la ajabu!
Kama ukitaka kutambuliwa...jambo la ajabu!
Kama ukitaka kuwa bora zaidi...jambo la ajabu!
Lakini mfahamuni kwamba aliye mkuu kuliko wote kwenu, ndiye atakuwa mtumishi wenu.
Hiyo ndiyo fasili mpya ya ukuu.”
- Dk. Martin Luther King, Jr. (1929-1968)
English translation:
“So Jesus gave us a new norm of greatness.
If you want to be important...wonderful!
If you want to be recognized...wonderful!
If you want to be great...wonderful!
But recognize that he who is greatest among you, shall be your servant.
That's the new definition of greatness.”
- Dr. Martin Luther King (1929-1968)
Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
Chanzo (source):
King, Martin Luther, Jr. “The Drum Major Instinct” sermon at Ebenezer Baptist Church in Atlanta, Georgia, U.S. February 4, 1968. Dr. Martin Luther King Jr. Complete Speeches and Sermons collection, item 20; uploaded by babygiraffe. Audio only. Timestamp 29:23 to 30:39 of an approximate 39-minute audio clip. Internet Archive. Retrieved April 8, 2023: https://archive.org/details/MartinLutherKingJrAllSpeeches/Dr.+Martin+Luther+King+Jr.+-+Complete+Speeches+and+Sermons/1968+02+04+The+Drum+Major+Instinct+2-4-68.mp3