Frederick Douglass Alisaidia Kuzindua Vuguvugu la Haki za Kupiga Kura za Wanawake Kwenye U.S.
Angela Y. Davis: Frederick Douglass helped to launch the women's voting rights movement in the U.S.
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Miongoni mwa takriban wanawake na wanaume mia tatu waliohudhuria Mkataba wa Seneca Falls [wa 1848, na uliofanyika kwa haki za wanawake], suala la haki ya kupiga kura kwa wanawake lilikuwa ni hoja kuu pekee ya mzozo....
"Kwamba pendekezo hilo lenye utata liliwasilishwa hata hivyo, lilitokana na utayari wa Frederick Douglass kutekeleza hoja ya [Elizabeth Cady] Stanton na kutumia uwezo wake wa kusema katika kutetea haki ya wanawake ya kupiga kura.
"Wakati wa siku hizo za mwanzo wakati haki za wanawake hazikuwa sababu halali, wakati haki ya mwanamke hakukuwa ya kawaida na hakuyopendwa kama hitaji, Frederick Douglass alisisitiza hadharani usawa wa kisiasa wa wanawake."
- Angela Y. Davis, mwanaharakati wa kisiasa, profesa, na mwandishi
ENGLISH TRANSLATION
"Among the approximately three hundred women and men attending the Seneca Falls Convention [of 1848 and to agitate for women’s rights], the issue of electoral power [voting] for women was the only major point of contention....
"That the controversial proposal was presented at all, however, was due to Frederick Douglass’ willingness to second [Elizabeth Cady] Stanton’s motion and to employ his oratorical abilities in defense of women’s right to vote.
"During those early days when women’s rights was not yet a legitimate cause, when woman suffrage was unfamiliar and unpopular as a demand, Frederick Douglass publicly agitated for the political equality of women."
- Angela Y. Davis is a political activist, professor, and author
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Davis, Angela Y. Women, Race & Class. New York: Vintage Books, 1981, page 33.
This is what a person should do when they have privilege. Bravo for Frederick Douglas!