Hekima Iko Katika Kutambua Tofauti
On quitting, from Annie Duke, former poker player: The wisdom lies in knowing the difference.
KISWAHILI
“Hilo ndilo jambo la kuchekesha kuhusu uthabiti. Ingawa uthabiti unaweza kukufanya ushikamane na mambo magumu ambayo yanafaa, uthabiti unaweza pia kukufanya ushikamane na mambo magumu ambayo hayafai tena. Hekima iko katika kutambua tofauti.”
- Annie Duke, mwandishi wa Quit: The Power of Knowing When to Walk Away, page xvii.
ENGLISH TRANSLATION
“That’s the funny thing about grit. While grit can get you to stick to hard things that are worthwhile, grit can also get you to stick to hard things that are no longer worthwhile. The trick is in figuring out the difference.”
- Annie Duke, author of Quit: The Power of Knowing When to Walk Away, page xvii.
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Annie Duke aliyekuwa wa kucheza poka wenye mafanikio makubwa, na sasa ni mwandishi, na mzungumzaji wa shirika na mshauri aliyetafutwa katika katika sekta ya kufanya maamuzi; pia ni mwanzilishi mwenza wa shirika lisilo ya faida linatiwa Alliance for Decision Education kwamba kuwezesha wanafunzi kufanya maamuzi bora. Yeye pia yuko kwenye Substack(!):
.ENGLISH TRANSLATION
Annie Duke is a former professional poker player with great success, and now is a best-selling author, and highly sought-after corporate speaker and consultant in the decision-making space; she is also the co-founder of the non-profit Alliance for Decision Education to empower students to make better decisions. She is also on Substack (!): .
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Duke, Annie. Quit: The Power of Knowing When to Walk Away. New York: Penguin Random House, 2022, page xvii. Kindle Edition.
Such wisdom! Thank you for sharing.