Helen Hayes: When Books are Opened, You Discover You Have Wings
The Quotable Book Lover (1999)
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Kutoka kwa wazazi wako unajifunza upendo na kicheko na jinsi ya kutembea. Lakini wakati vitabu vimepofunguliwa, unagundua kwamba una mabawa."
- Helen Hayes (1900-1993), mwigizaji mashuhuri anayejulikana kama “Bibi wa Kwanza wa Ukumbi wa Michezo ya Kuigiza wa Marekani” ambaye kazi-maisha yake ilihusisha jumba la maonyesho, filamu, redio na televisheni.
ENGLISH TRANSLATION
“From your parents you learn love and laughter and how to put one foot before the other. But when books are opened, you discover that you have wings.”
- Helen Hayes (1900-1993), legendary actress known as 'The First Lady of American Theatre” whose career spanned theatre, film, radio, and television.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Ben Jacobs and Helena Hjalmarsson, eds. The Quotable Book Lover. New York: Skyhorse Publishing, 1999, location 1173. Kindle edition.
I loved Helen Hayes. One of the highest compliments I’ve ever received was from a little old lady who said I reminded her of Helen during a h.s. theater performance. She was quite an actress. Great to see this quote, Mmerikani❣️
Lakini wakati vitabu vimepofunguliwa, unagundua kwamba una mabawa."
Ukweli kamili. Ninapoendelea kusoma ninimarisha ufahamu na ubunifu wangu wa kimaisha. Asante kwa hili wazo