[Scroll down for the English]
KISWAHILI
[Ifuatayo ni kauli yenye jina lisilojulikana ambayo imekuwa ikimtia moyo Katie Ledecky tangu akiwa na umri wa miaka 15.]
"Ubora ni matokeo ya kujali zaidi kuliko wengine wanafikiria ni hekima, kuhatarisha zaidi kuliko wengine wanafikiria ni mwafaka, na kutarajia zaidi kuliko wengine wanafikiria inawezekana."
- Katie Ledecky, muogeleaji wa Marekani ambaye ameshinda medali 14 za Olimpiki na medali 26 za Ubingwa wa Dunia; alianza kuogelea akiwa na umri wa miaka 6 pamoja na kaka yake mkubwa.
ENGLISH TRANSLATION
[The following is an anonymous quote that has been inspiring Katie Ledecky since she was 15 years of age.]
“Excellence is the result of caring more than others think is wise, risking more than others think is practical, and expecting more than others think is possible.”
- Katie Ledecky, American swimmer who has won 14 Olympic medals and 26 World Championship medals; she started swimming at the age of 6 alongside her older brother.
Asante na tutaonana tena (Thank you and may we see each other again),
Mmerikani
Chanzo (source): Katie Ledecky. Just Add Water: My Swimming Life. New York: Simon & Schuster, 2024, page 34. Kindle Edition. Ledecky’s website is here.