Kazi Yako Ni Kubadilisha Ulimwengu
James Baldwin: "The point is to get your work done, and your work is to change the world.”
KISWAHILI
“Mshairi au mwanamapinduzi yuko yuko ili kueleza uhitaji [wa mabadiliko], lakini hadi watu wenyewe waufahamu, hakuna kinachoweza kutokea….
"Labda, haiwezi kufanywa bila mshairi, lakini, kwa hakika haiwezi kufanywa bila watu hao. Mshairi na watu wanapatana kwa ujumla vibaya sana, bado wanahitajiana.
“Mshairi anaijua mapema kuliko watu wanavyojua. Kwa kawaida watu huijua baada ya mshairi alifariki dunia; lakini hiyo ni sawa. Jambo kuu ni kukamili kazi yako, na kazi yako ni kubadilisha ulimwengu.
- James A. Baldwin (1924-1987)
(Herufi nzito, nafasi, na italiki zimeongezwa na Mmerikani.)
ENGLISH TRANSLATION
“The poet or the revolutionary is there to articulate the necessity [for change], but until the people themselves apprehend it, nothing can happen….
“Perhaps, it can’t be done without the poet, but, it certainly can’t be done without the people. The poet and the people get on generally very badly, and yet they need each other.
“The poet knows it sooner than the people do. The people usually know it after the poet is dead; but that’s all right. The point is to get your work done, and your work is to change the world.”
- James A. Baldwin (1924-1987)
(Bolded letters, spacing, and italics were added by Mmerikani.)
Kuhusu (About):
KISWAHILI
James Baldwin (1924-1987) alikuwa mwandishi, mwandishi wa tamthilia na mwanaharakati wa haki za kiraia wa Marekani.
ENGLISH TRANSLATION
James Baldwin (1924-1987) was an author, playwright, and vocal U.S. civil rights activist.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Baldwin, James A. Conversations with James Baldwin. Edited by Fred L. Standley and Louis H. Pratt. University Press of Mississippi, 1989, 155. Internet Archive at https://archive.org/details/conversationswit0000bald/page/155/mode/1up?view=theater.
//END