Kilele cha Miaka Yao ya Utendaji wa Riadha Hutokea Baadaye...
Their peak athletic performance years occur later....
KISWAHILI
[Mkimbiaji na mwandishi Lauren Fleshman anazungumza kuhusu awamu tofauti za wavulana na wasichana wanapobalehe--awamu ambazo huleta kilele cha miaka ya utendaji wa riadha kuwa baadaye kwa wale waliozaliwa wakiwa wanawake; na jinsi msisitizo wa kitamaduni wa Marekani wa wakimbaji wasomi wa juu ya uzani mdogo wa mwili na mafuta ya mwili mdogo kwa utabiri kuwaondoa wakimbiaji wanawake kutoka kwa mashindano wakati wa miaka yao ya kilele cha utendaji.]
ENGLISH TRANSLATION
[Runner and author Lauren Fleshman talks about the different timelines adolescent boys and girls follow, ones that yield much later peak athletic years for those born female at birth; and how the American elite running culture's emphasis on low body weight and body fat predictably eliminates women runners from competition during their peak performance years.]
KISWAHILI
"Huu ni mlinganisho niliofikiria hivi majuzi kuhusu wavulana wa umri wa miaka 13...ikiwa ungewaita wakuimbie ili ujue uwezo wao wa wakati ujao wa muda mrefu kama wawimbaji...hilo suali lingekuwa jinga sana…na hatuulizi suali hilo kwa sababu tunajua ni jinga.
"Lakini hatuna ufahamu wa kutosha wa fiziolojia ya kike na maendeleo yetu ya kawaida ya utendaji [kuhusu riadha] kusema kwamba...ingekuwa kijinga kuwapa [mkimbiaji msichana au mwanamke kijana] kiwango cha mafuta mwilini au uzito wa mwilini wa mbio au chochote kile. Hilo litakuwa jinga sana. Hata halitumiki" [kwa sababu kilele cha miaka yao ya utendaji wa riadha wa wasichana na wanawake vijana hutokea baadaye.]
- Lauren Fleshman, wakati wa mahojiano na Des Linden na Kara Goucher kwenye podikasti yao mpya Nobody Asked Us with Des & Kara. Lauren hivi karibuni alichapisha Good for a Girl: A Woman Running in a Man’s World.
ENGLISH TRANSLATION
"This is an analogy I thought of recently about 13-year old boys...if you had them sing for you to determine what their long-term potential was as a singer...that would be the dumbest thing...and we don't do that because we know that's dumb.
"But we don't have enough of an understanding of female physiology and our normal performance progression [regarding athletics] to acknowledge that...that would be stupid to give them [a girl or young woman runner] a body fat range or a race weight or whatever. That'd be really dumb. It doesn't even apply" [because their peak performance years occur later.]
- Lauren Fleshman, during an interview with Des Linden and Kara Goucher on their new podcast Nobody Asked Us with Des & Kara. Lauren recently released Good for a Girl: A Woman Running in a Man’s World.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Goucher, Kara and Des Linden. "4. A Chat with Lauren Fleshman." Interview by Des Linden and Kara Goucher. Nobody Asked Us with Des & Kara. January 31, 2023. Audio (podcast), 58:00 minutes; above excerpt is from 30:35 to 31:12. Retrieved from Spotify:
//END