Kimwangaza Maalum Ndani ya Wetu
Kiswahili: “Ninaamini kwamba kila mmoja wa wetu anabeba kimwangaza ndani, kitu cha kipekee kabisa na cha mtu binafsi, mwali maalum unaostahili kulindwa. Wakati tutambue nuru yetu, helafu, tunawezeshwa kuitumia. [Pia] tunapojifunza kukuza sifa hizo za binafsi ndani ya watu wanaozunguka nasi, helafu, tuboreshe hodari yetu kujenga jumuiya zenye huruma na kufanya mabadiliko ya maana.” - Bibi Michelle Obama
English translation: “I believe that each of us carries a bit of inner brightness, something entirely unique and individual, a flame that’s worth protecting. When we are able to recognize our own light, we become empowered to use it. When we learn to foster what’s unique in the people around us, we become better able to build compassionate communities and make meaningful change.”
Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
Chanzo (source): Obama, Michelle. The Light We Carry. (New York: Crown, 2022), page 16. Kindle.