KISWAHILI
"Ni huruma badala ya kanuni ya haki ambayo inaweza kutulinda dhidi ya kuwadhulumu wanadamu wenzetu."
- Eric Hoffer, American longshoreman, philosopher, and author.
ENGLISH TRANSLATION
“It is compassion rather than the principle of justice which can guard us against being unjust to our fellow men.”
- Eric Hoffer, American longshoreman, philosopher, and author.
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Eric Hoffer (1898?-1983) alipata umaarufu na kitabu chake cha kwanza The True Believer (1951). Kabla ya hapo, na baada ya kuchapisha vitabu kadhaa muhimu vya falsafa, aliendelea tabia yake rahisi na aliishi mazingirini ya watu wa wanaofanyakazi. Alikuwa na hamu kubwa kama msomaji na mwandishi, na vitabu vilikuwa, inasemekana, miliki yake pekee.
ENGLISH TRANSLATION
Eric Hoffer (1898?-1983) became popular with his first book The True Believer (1951). Before that, and during the several philosophical books he later published, he retained his working-class habits and environment. He was a voracious reader and writer, autodidact, and books were, reportedly, his only possession.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Hoffer, Eric. The Passionate State of Mind and Other Aphorisms. New Jersey: Hopewell Publications, 2006 (original 1955), page 63.
Ooh, this is so good, Mmerikani❣️There it is again... that “compassion”.
In other words, if everyone were compassionate, there would be no need to seek justice?