Lazima Upange Uzoefu Wako Kwenye Kimiani cha Nadharia
Charlie Munger's "latticework of theory."
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Hekima ya msingi ya kidunia ni nini? Basi, sheria ya kwanza ni kwamba huwezi kujua cho chote ikiwa utakumbuka tu maarifa yaliyotengwa na ukajaribu kuyakariri.
“Ikiwa maarifa hayaambatani kwenye kimiania cha nadharia, hunayo katika fomu inayoweza kutumika. Lazima uwe na vielelezo kichwani mwako [ili kuvilinganisha].
“Na lazima upange uzoefu wako—kwa niaba ya wengine na wako—kwenye kimiani hiki cha miundo…katika kichwa chako.”
- Charlie Munger (1924-2023) alikuwa mwekezaji bilionea, na rafiki wa muda mrefu na mshirika wa biashara wa Warren Buffett
ENGLISH TRANSLATION
“What is elementary, worldly wisdom? Well, the first rule is that you can’t really know anything if you just remember isolated facts and try and bang ’em back.
“If the facts don’t hang together on a latticework of theory, you don’t have them in a usable form. You’ve got to have models in your head [to compare them against].
“And you’ve got to array your experience—both vicarious and direct—on this latticework of models…in your head.”
- Charlie Munger (1924-2023) was a billionaire investor, and long-time friend and business partner of Warren Buffett
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Kaufman, Peter D., ed. Poor Charlie’s Almanack: The Essential Wit and Wisdom of Charles T. Munger. 4th ed. San Francisco: Stripe Press, 2023, page 78-79. Kindle edition.