Lazima Uwe na Vielelezo Vingi na Tofauti Kunyongea Kimiani Chako
Charlie Munger: You've got to have multiple models to hang on your lattice
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Na lazima unyongea uzoefu wako—kwa niaba ya wengine na wako—kwenye kimiani hiki cha miundo…katika kichwa chako.”
“Je, miundo [au vielelezo] ni nini? Basi, kanuni ya kwanza ni lazima uwe na vielelezo vingi—kwa sababu ikiwa una moja au mbili tu unavyotumia, asili ya saikolojia ya binadamu ni kwamba utasokota ukweli ili ufanane na vielelezo vyako, au angalau, utafikiri unafanana…
“Vielelzo lazima vitoke kwa taaluma nyingi—kwa sababu hekima yote ya ulimwengu haipatikani katika idara moja ndogo ya kitaaluma...."
- Charlie Munger (1924-2023) alikuwa mwekezaji bilionea, na rafiki wa muda mrefu na mshirika wa biashara wa Warren Buffett
ENGLISH TRANSLATION
“And you’ve got to array your experience—both vicarious and direct—on this latticework of models…in your head.
“What are the models? Well, the first rule is that you’ve got to have multiple models—because if you have just one or two that you’re using, the nature of human psychology is such that you’ll torture reality so that it fits your models, or at least you’ll think it does…
“The models have to come from multiple disciplines—because all the wisdom of the world is not to be found in one little academic department….”
- Charlie Munger (1924-2023) was a billionaire investor, and long-time friend and business partner of Warren Buffett
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Kaufman, Peter D., ed. Poor Charlie’s Almanack: The Essential Wit and Wisdom of Charles T. Munger. 4th ed. San Francisco: Stripe Press, 2023, page 79. Kindle edition.
Mmerikani, you've given us another thought-provoking quote! I'm trying to understand this (without having read the book).
Is what he's saying related to this, possibly?
"Recognize that any thought can exist fully only in a network of connected thoughts." [The Miniature Guide to the Art of Asking Essential Questions by Linda Elder, Richard Paul]
What does Kaufman mean by "models"? How does he define that? 🤔