[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Matukio mengi yaliyofafanuliwa [katika kitabu hiki, Man’s Search for Meaning] hayakutokea katika kambi [za mateso] kubwa na maarufu, lakini katika zile ndogo ambazo maangamizi mabaya zaidi yalifanyika….
“[Ni kuhusu] dhabihu, kusulubishwa na vifo vya kundi kubwa la wahasiriwa wasiojulikana na ambao hawajarekodiwa.”
- Viktor E. Frankl (1905-1997) alikuwa daktari wa magonjwa ya akili wa Austria, mnusurika wa Holokosti, mwandishi, na profesa.
ENGLISH TRANSLATION
“Most of the events described [in this book, Man’s Search for Meaning] did not take place in the large and famous [concentration] camps, but in the small ones where most of the real extermination took place….
“[It is about] the sacrifices, the crucifixion and the deaths of the great army of unknown and unrecorded victims.”
- Viktor E. Frankl (1905-1997), was an Austrian psychologist, Holocaust survivor, author, and professor
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Viktor E. Frankl (1905-1997) alikuwa daktari wa magonjwa ya akili wa Austria, mnusurika wa mauaji ya kimbari yaliyoitwa Holokosti, mwandishi, na profesa. Kutokana na ukatili aliona na alionea katika kambi za mateso, aliendelea kutengeneza mbinu ya kisaikolojia inayojulikana kama tiba ya kisaikolojialogo inaitwa logotherapy ambayo inasema nguvu kuu ya motisha ya mtu binafsi ni kutafuta maana katika maisha.
ENGLISH TRANSLATION
Viktor E. Frankl (1905-1997) was an Austrian psychologist, Holocaust survivor, author, and professor. Drawing upon the brutality he saw and experienced in the concentration camps, he went on to develop a psychological method known as logotherapy, which says the primary motivation of an individual is to find meaning in life.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Frankl, Viktor E. Man's Search for Meaning. Boston: Beacon Press, 1956 (English edition, original German published 1949), page 3. Kindle Edition.
This is a very interesting point about our general understanding of the Holocaust: it was the smaller, lesser known camps where most of the exterminations happened.