Mabonge ya Hekima kwa Uwekezaji na Maisha
Charlie Munger: Nuggets of wisdom for investing and life
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
Baadhi ya kanuni za uwekezaji za Charlie Munger [ambazo pia zinatumika kwa maisha!]:
Epuka kushughulika na watu wenye tabia mbaya.
Fikra zisizo na upendeleo na kuwa na busara zinahitaji uhuru wa mawazo.
Kufuata umati hualika rejeshi kwa wastani (utendaji wa wastani pekee).
Kujikuza mwenyewe kuwa anayejifunza mwenyewe maishani kwa kusoma kwa hamu; kukuza udadisi na kujitahidi kuwa na hekima kidogo kila siku.
Muhimu zaidi kuliko nia ya kushinda ni nia ya kujiandaa.
Kukiri usichokijua ni kupambazuka kwa hekima.
Kuepuka tamaa ya usahihi wa uongo, uhakika wa uongo, nk.
Zaidi ya yote, usijidanganye, na kumbuka kuwa wewe ndiye mtu rahisi zaidi wa kudanganya.
Jilinde dhidi ya athari za kidari na kuchoka.
Furahia mchakato pamoja na mapato, kwa sababu mchakato ni mahali unapoishi.
Daima ujichanguza na urekebishe kwa hiari mawazo yako unayopenda zaidi.
- Charlie Munger (1924-2023) alikuwa mwekezaji bilionea, na rafiki wa muda mrefu na mshirika wa biashara wa Warren Buffett
ENGLISH TRANSLATION
Some of Charlie Munger's investing principles [which also apply to living life!]:
Avoid dealing with people of questionable character.
Objectivity and rationality require independence of thought.
Mimicking the herd invites regression to the mean (merely average performance).
Develop into a lifelong self-learner through voracious reading; cultivate curiosity and strive to become a little wiser every day.
More important than the will to win is the will to prepare.
Acknowledging what you don’t know is the dawning of wisdom.
Resist the craving for false precision, false certainties, etc.
Above all, never fool yourself, and remember that you are the easiest person to fool.
Guard against the effects of hubris and boredom.
Enjoy the process along with the proceeds, because the process is where you live.
Continually challenge and willingly amend your best-loved ideas.
- Charlie Munger (1924-2023) was a billionaire investor, and long-time friend and business partner of Warren Buffett
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Kaufman, Peter D., ed. Poor Charlie’s Almanack: The Essential Wit and Wisdom of Charles T. Munger. 4th ed. San Francisco: Stripe Press, 2023, pages 61-64. Kindle edition.