KISWAHILI
“Maana ukweli ni kwamba maendeleo maana yake ni maendeleo ya watu. Mabarabara, majumba, kuongeza mazao, na vitu vingine vya aina hii, siyo maendeleo; ni vyombo vya maendeleo.” - Dk. Julius K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
ENGLISH TRANSLATION
“The truth is that development means the development of people. Roads, buildings, the increases of crop output, and other things of this nature, are not development; they are only tools of development.” - Dr. Julius K. Nyerere, the first President of Tanzania.
Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
Chanzo (source): Nyerere, Julius. “Uhuru na Maendeleo,” Kitabu cha Maongozi kilichotelewa Oktoba 1968. In Binadamu na Maendelo. Dar es Salaam: Oxford University Press, 1974, ukurasa wa 29.
Also available at tovuti ya www.juliusnyerere.org hasa https://www.juliusnyerere.org/resources/view/uhuru_na_maendeleo; ona taswira chini kwenye ukurasa wa 2, pia katika sehemu sawa kwenye PDF hapo. Retrieved April 15, 2023.