Matukio na Watu Waliopuuzwa Yadhihirishe Miunganisho Isiyotarajiwa
Hidden Figures: Overlooked events and people can reveal unexpected connections
KISWAHILI
“Kama vile visiwa—maeneo yaliyotengwa na vyenye viumbe hai vya kipekee na utajiri mwingi—vina umuhimu kwa mfumo wa ikolojia kila mahali, vivyo hivyo kusoma watu wanaoonekana kutengwa au kupuuzwa na matukio ya zamani huleta uhusiano na maarifa yasiyotarajiwa kwa maisha ya kisasa.”
- Margot Lee Shetterly, katika dondoo kutoka kitabu chake Hidden Figures: The American Dream and the Untold Story of the Black Women Mathematicians Who Who Helped Win the Space Race (2016)
ENGLISH TRANSLATION
“Just as islands—isolated places with unique, rich biodiversity—have relevance for the ecosystems everywhere, so does studying seemingly isolated or overlooked people and events from the past turn up unexpected connections and insights to modern life.”
- Margot Lee Shetterly, in an excerpt from her book Hidden Figures: The American Dream and the Untold Story of the Black Women Mathematicians Who Helped Win the Space Race (2016)
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Margot Lee Shetterly ni mwandishi wa Marekani, mjasiriamali, na msafiri shupavu ambaye aliishi miaka 11 huko Mexico. Kwa sasa, yuko kwenye likizo refu ili akifanye kazi kwa kitabu kipya. Kitabu chake cha Hidden Figures kilitengenezwa kuwa filamu—trela hiyo iko chini.*
ENGLISH TRANSLATION
Margot Lee Shetterly is an American author, entrepreneur, and intrepid traveler who spent 11 years living in Mexico. She is currently on a writing sabbatical, working on a new book. Her Hidden Figures book was made into a movie—that trailer is below.*
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Shetterly, Margot Lee. Hidden Figures: The American Dream and the Untold Story of the Black Women Mathematicians Who Helped Win the Space Race. New York: HarperCollins, 2016, page xv. Kindle edition.
//END