Mwelekeo wa Kuepusha Ukosefu wa Upatano Ujulishe Siasa Zetu
Charlie Munger: The human tendency to wish to avoid inconsistency
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Ubongo wa [binadamu] huhifadhi rasilmali ya programu kwa kusitasita kubadilika, ambayo ni aina ya kuepusha ukosefu wa upatano. Tunaona mwelekeo huu katika tabia zote za wanadamu, zote mbili zenye kujenga na kuharibu….
“Tokeo moja la mwelekeo wa kuepusha ukosefu wa upatano ni kwamba mtu anayejidhabihu sana wakati wa kuchukua utambulisho mpya atazidisha kujitolea kwake kwa utambulisho huo mpya. Baada ya yote, itakuwa ni tabia isiyo na upatano kutoa dhabihu kubwa kwa kitu ambacho hakikuwa kizuri….
“Zaidi ya hayo, tabia hiyo mara nyingi itamfanya mtu kuwa chombo wa watendaji wa kufuata ghilibu ambao hupata faida kutokana na kufyatusha mwelekeo wake ya kuepusha ukosefu wa upatano….
“Wakati nguvu kama hiyo yanapoingia uinjilisti wa kisiasa na kidini, mara nyingi kuna matokeo mabaya...."
- Charlie Munger (1924-2023) alikuwa mwekezaji bilionea, na rafiki wa muda mrefu na mshirika wa biashara wa Warren Buffett
ENGLISH TRANSLATION
“The brain of [humans] conserves programming space by being reluctant to change, which is a form of inconsistency avoidance. We see this in all human habits, constructive and destructive….
“One corollary of inconsistency-avoidance tendency is that a person making big sacrifices in the course of assuming a new identity will intensify his devotion to the new identity. After all, it would be quite inconsistent behavior to make a large sacrifice for something that was no good….
“Moreover, the tendency will often make man a patsy of manipulative compliance practitioners, who gain advantage from triggering his subconscious inconsistency-avoidance tendency....
“When such power flows into political and cult evangelism, there are often bad consequences...."
- Charlie Munger (1924-2023) was a billionaire investor, and long-time friend and business partner of Warren Buffett
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Kaufman, Peter D., ed. Poor Charlie’s Almanack: The Essential Wit and Wisdom of Charles T. Munger. 4th ed. San Francisco: Stripe Press, 2023, page 334-339. Kindle edition.