Nataka Kuishi Kwa Upendo na Kuamini Upendo
Kai Cheng Thom: “I want to live in love and believe in love."
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Nataka kuishi kwa upendo na kuamini upendo. Ikibidi nife, nataka kufa kwa upendo.
"Ulimwengu huu wote unaweza kuwa unakaribia mwisho wake, au unaweza kuwa katikati ya mabadiliko makubwa na ya jambo la kuogopesha sana ambalo husababisha kitu bora zaidi. Kwa vyo vyote vile, nataka kuupitia [ulimwengu] kwa upendo na pamoja na watu wao ninawapenda....
“Kwa hiyo kitabu hiki [I Hope You Choose Love] ni kuhusu mapenzi, ambayo ni sentensi ambayo sikuwahi kufikiria ningeandika....
“Hiki ni kitabu kuhusu upendo wa kimapinduzi. Upendo ambao unaweza usituokoe mwishoni mwa ulimwengu lakini unaweza kufanya iwezekane kuishi. Labda [upendo huo] uwe vigumu kuamini. Itakuwa vigumu zaidi kuishi hivyo. Natumaini bado tuchague huo."
- Kai Cheng Thom ni mwandishi, mshauri wa kitamaduni, mzungumzaji, na mtaalamu wa kutatua migogoro.
ENGLISH TRANSLATION
“I want to live in love and believe in love. If I have to die, I want to die in love.
“This whole world might be coming to its end, or it might be in the midst of an enormous and terrifying change that leads to something better. Either way, I want to go through it [world] in love with the people I love....
“So this is a book [I Hope You Choose Love] about love, which is a sentence I never thought I would write....
“This is a book about revolutionary love. Love that might not save us at the end of the world but that might make it possible to live through. It may be hard to believe in. It will be harder to live. I hope we choose it anyway.”
- Kai Cheng Thom is a writer, cultural consultant, speaker, and conflict resolution practitioner.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Thom, Kai Cheng. I Hope We Choose Love: A Trans Girl’s Notes from the End of the World. Vancouver: Arsenal Pulp Press, 2019, page 11. Kindle Edition.
What a powerful message. I hope so, too. (Also, agree with @emmajarrett that this book must go on the To Read list!)
Asante kwa chapisho hili.
I love the sentiment, and try to do this as best I can.