Ni Yamkini Kuacha Ni Chaguo Bora Zaidi
On quitting, from Annie Duke, former poker player: Quitting may be the better choice.
KISWAHILI
"Kufikiria thamani inayotarajiwa [EV] hukusaidia kubaini kama njia unayopitia inafaa. EV siyo tu kuhusu pesa. Inaweza kupimwa katika afya, ustawi binafsi, furaha, wakati, kujitosheleza, kuridhika katika mahusiano, au kitu kingine chochote kinachoathiri wewe. Ikiwa unahisi kama chaguo kati ya kuvumilia na kuondoka ni vigumu, ni yamkini kwamba kuacha ni chaguo bora zaidi.
“Kwa mtazamo wa nyuma, tunaweza kuona pahali mtu amesubiri kwa muda mrefu sana kuacha, na tunaelekea kuwa wakali katika hukumu yetu kwa watu hao. Lakini kama mtu akipoacha kabla ya kuonekana wazi kwa wengine, tunamdhihaki kwa kuacha mapema sana. Hupo ndipo changamoto wa kuacha.”
- Annie Duke, mwandishi wa Quit: The Power of Knowing When to Walk Away, page 44.
ENGLISH TRANSLATION
“Thinking in expected value [EV] helps you figure out if the path you are on is worth sticking to. EV is not just about money. It can be measured in health, well-being, happiness, time, self-fulfillment, satisfaction in relationships, or anything else that affects you. If you feel like the choice between persevering and walking away is a close call, it’s likely that quitting is the better choice.
“In hindsight, we can see when someone has waited too long to quit, and we tend to be harsh in our judgment of those people. But when someone quits before it seems obvious to others, we mock them for quitting too early. That’s the quitting bind.”
- Annie Duke, author of Quit: The Power of Knowing When to Walk Away, page 44.
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Annie Duke aliyekuwa wa kucheza poka wenye mafanikio makubwa, na sasa ni mwandishi, na mzungumzaji wa shirika na mshauri aliyetafutwa katika katika sekta ya kufanya maamuzi; pia ni mwanzilishi mwenza wa shirika lisilo ya faida linatiwa Alliance for Decision Education kwamba kuwezesha wanafunzi kufanya maamuzi bora. Yeye pia yuko kwenye Substack(!):
.ENGLISH TRANSLATION
Annie Duke is a former professional poker player with great success, and now is a best-selling author, and highly sought-after corporate speaker and consultant in the decision-making space; she is also the co-founder of the non-profit Alliance for Decision Education to empower students to make better decisions. She is also on Substack (!): .
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Duke, Annie. Quit: The Power of Knowing When to Walk Away. New York: Penguin Random House, 2022, page 44. Kindle Edition.