Nina Sheria Tatu za Kimsingi kwa Kazi-Maisha
Charlie Munger: I have three basic rules [in deciding on a career]
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Kijana anapaswa kuangalia nini katika kazi-maisha? Nina sheria tatu za kimsingi—kukutana na zote tatu karibu haiwezekani, lakini unapaswa kujaribu bado:
Usiuze kitu cho chote ambacho haungenunua mwenyewe.
Usifanye kazi kwa mtu ye yote usiyemheshimu wala kumsifu.
Fanya kazi tu na watu unaowafurahia."
- Charlie Munger (1924-2023) alikuwa mwekezaji bilionea, na rafiki wa muda mrefu na mshirika wa biashara wa Warren Buffett
ENGLISH TRANSLATION
“What should a young person look for in a career? I have three basic rules—meeting all three is nearly impossible, but you should try anyway:
Don’t sell anything you wouldn’t buy yourself.
Don’t work for anyone you don’t respect and admire.
Work only with people you enjoy.”
- Charlie Munger (1924-2023) was a billionaire investor, and long-time friend and business partner of Warren Buffett
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Kaufman, Peter D., ed. Poor Charlie’s Almanack: The Essential Wit and Wisdom of Charles T. Munger. 4th ed. San Francisco: Stripe Press, 2023, page 121. Kindle edition.
Great rules -- and nearly impossible.
I've had two out of three at one time. That's the best I've done.