Pamoja na Imani
Kiswahili: “Bila imani, hakuna jambo lililowezekana. Pamoja na imani, hakuna jambo lisilowezekana.” - Dk. Mary McLeod Bethune
English translation: Without faith, nothing is possible. With faith, nothing is impossible. - Dr. Mary McLeod Bethune
Chanzo (source): National Museum of African American History & Center (NMAAHC), Washington DC. Twitter.
Kuhusu (About):
Kiswahili: Dk. Mary McLeod Bethune (1875-1955) alikuwa mwalimu wa Marekani, mfadhili, mwanashrikia wa kibinadamu, na mwanaharakati wa haki za kiraia.
English translation: Dr. Mary McLeod Bethune (1875-1955) was an American educator, philanthropist, humanitarian, and civil rights activist.
Asante na tutaonana tena,
Mmerikani