KISWAHILI
"Ikiwa mtu ataniuliza nilichotimiza [maishani], nitasema yote niliyotimiza ni kwamba nimeandika sentensi chache nzuri."
- Eric Hoffer, mpakuzi wa bandari, mwanafalsafa, na mwandishi wa Marekani. Dondoo kutoka The Passionate State of Mind and Other Aphorisms, 2006 (original 1955), utangulizi.
ENGLISH TRANSLATION
“If anyone asks me what I have accomplished [in life], I will say all I have accomplished is that I have written a few good sentences.”
- Eric Hoffer, American longshoreman, philosopher, and author. Excerpt from The Passionate State of Mind and Other Aphorisms, 2006 (original 1955), front matter.
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Eric Hoffer (1898?-1983) alipata umaarufu na kitabu chake cha kwanza The True Believer (1951). Kabla ya hapo, na baada ya kuchapisha vitabu kadhaa muhimu vya falsafa, aliendelea tabia yake rahisi na aliishi mazingirini ya watu wa wanaofanyakazi. Alikuwa na hamu kubwa kama msomaji na mwandishi, na vitabu vilikuwa, inasemekana, miliki yake pekee.
ENGLISH TRANSLATION
Eric Hoffer (1898?-1983) became popular with his first book The True Believer (1951). Before that, and during the several philosophical books he later published, he retained his working-class habits and environment. He was a voracious reader and writer, autodidact, and books were, reportedly, his only possession.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Hoffer, Eric. The Passionate State of Mind and Other Aphorisms. New Jersey: Hopewell Publications, 2006 (original 1955), front matter.