KISWAHILI
[Mwandishi Margot Lee Shetterly akitoa sababu za kutafiti na kuandika hadithi ya Hidden Figures:]
"Nilichotaka kwao [wanahisabati wanawake Waamerika Weusi hao huko NASA] wawe na simulizi kuu lililopanuliwa walilostahili, aina ya historia ya Marekani ambayo ni kama ya Wright Brothers na wanaanga, ya Alexander Hamilton na Martin Luther King Jr. Haisemwi kama historia iliyotengwa, lakini kama sehemu ya hadithi sisi sote tunayojua. Siyo wako pembezoni, lakini katikati kabisa, kama wahusika wakuu wa tamthilia. Na siyo tu kwa sababu wao ni Weusi, au kwa sababu ni wanawake, lakini kwa sababu wao ni sehemu ya hadithi kuu kihistoria ya Marekani.
- Margot Lee Shetterly, katika dondoo kutoka kitabu chake Hidden Figures: The American Dream and the Untold Story of the Black Women Mathematicians Who Who Helped Win the Space Race (2016)
ENGLISH TRANSLATION
[Author Margot Lee Shetterly offering reasons to research and write the Hidden Figures story:]
“What I wanted was for them [the Black American women mathematicians at NASA] to have a grand, sweeping narrative that they deserved, the kind of American history that belongs to the Wright Brothers and the astronauts, to Alexander Hamilton and Martin Luther King Jr. Not told as a separate history, but as part of the story we all know. Not at the margins, but at the very center, the protagonists of the drama. And not just because they are black, or because they are women, but because they are part of the American epic.”
- Margot Lee Shetterly, in an excerpt from her book Hidden Figures: The American Dream and the Untold Story of the Black Women Mathematicians Who Helped Win the Space Race (2016)
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Margot Lee Shetterly ni mwandishi wa Marekani, mjasiriamali, na msafiri shupavu ambaye aliishi miaka 11 huko Mexico. Kwa sasa, yuko kwenye likizo refu ili akifanye kazi kwa kitabu kipya. Kitabu chake cha Hidden Figures kilitengenezwa kuwa filamu—trela hiyo iko chini.*
ENGLISH TRANSLATION
Margot Lee Shetterly is an American author, entrepreneur, and intrepid traveler who spent 11 years living in Mexico. She is currently on a writing sabbatical, working on a new book. Her Hidden Figures book was made into a movie—that trailer is below.*
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Shetterly, Margot Lee. Hidden Figures: The American Dream and the Untold Story of the Black Women Mathematicians Who Helped Win the Space Race. New York: HarperCollins, 2016, page xvii. Kindle edition.
//END