Sisi ni Mojawapo Tu ya Galaksi Zinazo Milioni Milioni
Stephen Hawking: Our galaxy is just one of the one billion observable ones (so far!)
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Tumekua kutoka kwa kosmolojia ya jiosentriki [dunia iko katikati ya ulimwengu] wa Ptolemy na mababu zake, kupitia kosmolojia ya anga ya Copernicus na Galileo [dunia huzunguka jua], hadi picha ya kisasa ambayo dunia ni sayari ya ukubwa wa wastani inayozunguka nyota ya wastani [jua] katika viunga vya nje vya mzunguko wa kawaida galaksi, ambayo yenyewe ni mojawapo tu ya galaksi zinazo milioni milioni katika ulimwengu unaoonekana.”
- Stephen Hawking (1942-2018), mwandishi wa The Illustrated Brief History of Time (1996)
ENGLISH TRANSLATION
“We have developed from the geocentric [the universe revolves around the Earth] cosmologies of Ptolemy and his forebears, through the heliocentric [the Earth revolves around the sun] cosmology of Copernicus and Galileo, to the modern picture in which the earth is a medium-sized planet orbiting around an average star [the sun] in the outer suburbs of an ordinary spiral galaxy, which is itself only one of about a million million galaxies in the observable universe.”
- Stephen Hawking (1942-2018), author of The Illustrated Brief History of Time (1996)
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Stephen Hawking (1942-2018) alikuwa mwanafizikia wa kinadharia, profesa, na mwandishi ambaye kazi yake ilizingatia sifa za mashimo meusi na nadharia ya uhusianifu wa ujumla.
ENGLISH TRANSLATION
Stephen Hawking (1942-2018) was a theoretical physicist, professor, and author whose work focused on the properties of black holes and the theory of general relativity.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Hawking, Stephen. The Illustrated Brief History of Time. New York: Bantam Books, 1996, pages 161-163.