KISWAHILI
"Mimi ni huyo mtu kwamba wakati, hali, historia, imenitengenezea, kwa hakika, lakini mimi, pia, ni zaidi ya hiyo. Sisi sote hivyo ndivyo.”
- James A. Baldwin (1924-1987)
[Koma asilia za Baldwin zilihifadhiwa.]
ENGLISH TRANSLATION
“I am what time, circumstance, history, have made of me, certainly, but I am, also, much more than that. So are we all.”
- James A. Baldwin (1924-1987)
[Baldwin’s original commas were retained.]
Kuhusu (About):
KISWAHILI
James Baldwin (1924-1987) alikuwa mwandishi, mwandishi wa tamthilia na mwanaharakati wa haki za kiraia wa Marekani.
ENGLISH TRANSLATION
James Baldwin (1924-1987) was an author, playwright, and vocal U.S. civil rights activist.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Baldwin, James A. Collected Essays, selections made by Toni Morrison, 1988, 810. New York: Literary Classics of the United States, Inc. Internet Archive at https://archive.org/details/collectedessays0000bald/page/810/mode/1up?q=circumstance&view=theater.
//END
Nilitafsiri shairi la amanda gorman alilosoma inauguration, ungependa nikutumie?
I thought you might like this one, Christopher! (https://substack.com/@christopherduncan) I read your Substack intro last week and then came across this quote as I wrap up with Mr. Baldwin this week. :)