Tafsiri Inakaribia Kufasili Kuzaliwa Tena ku Ulaya
Edith Grossman (1936-2023): Translation defines the European Renaissance
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Na dhana yenyewe ya fasihi ya ulimwengu kama taaluma unaofaa kwa masomo ya kitaaluma inategemea kupatikana tafsiri. Tafsiri inabaki nafasi kuu na mashuhuri katika dhana ya ustaarabu wa ulimwengu mzima, ulioelimika, na, si mafanikio madogo, inakaribia kufasili Kipindi cha Mwamko wa Ulaya. "Kuzaliwa tena" kwamba sisi sote tumejifunza wakati mmoja au mwingine kulianza kama tafsiri hiyo kutoka falsafa na sayansi ya kale ya Kigiriki—mambo yamepoteza huko Ukristo wa Ulaya kwa karne nyingi—kwenye Kilatini kisha kwenye lugha za kienyeji.”
- Edith Grossman (1936-2023), mfasiri wa fasihi, mtetezi wa tafsiri, na mwandishi wa Why Translation Matters (2010).
ENGLISH TRANSLATION
“And the very concept of world literature as a discipline fit for academic study depends on the availability of translations. Translation occupies a central and prominent position in the conceptualization of a universal, enlightened civilization, and, no small accomplishment, it almost defines the European Renaissance. The “rebirth” we all have studied at one time or another began as the translation into Latin[,] and then the vernacular languages[,] of the ancient Greek philosophy and science that had been lost to Christian Europe for centuries.”
- Edith Grossman (1936-2023), literary translator, translation advocate, and author of Why Translation Matters (2010).
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Edith Grossman (1936-2023) alikuwa mfasiri mashuhuri wa fasihi wa waandishi muhimu wa lugha ya Kihispania na mtetezi wa tafsiri, akisisitiza watafsiri waweke majina yao pamoja na mwandishi asilia kwenye jalada. Alikumbusha kila mara tasnia ya uchapishaji na wasomaji kwamba tafsiri huwaruhusu wasomaji kupata uzoefu wa fasihi ya nchi na tamaduni zingine. Alijaribu kuinua jukumu muhimu la kutafsiri katika kitabu chake kilichochapishwa na Yale University Press, Why Translation Matters (2010).
ENGLISH TRANSLATION
Edith Grossman (1936-2023) was a renowned literary translator of famous Spanish-language authors and a translation advocate, insisting translators have their name on the cover with the original author. She continually reminded the publishing industry and readers that translations allow readers to experience the literature of other countries and cultures. She sought to elevate the critical role of translation in her book published by Yale University Press, Why Translation Matters (2010).
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Grossman, Edith. Why Translation Matters. New Haven, Connecticut: Yale University Press, 2010, location 176-181. Kindle edition.
So very, very true.