[Scroll down for the English]
KISWAHILI
8 Mbinu Bora za Ted Gioia Kutathmini Sifa ya Mtu Fulani
“Ninatakia mtu angeniambia mambo haya nilipokuwa mdogo. Sasa ninazitumia ninapohitaji kupata tathmini ya watu ambao siwafahamu vyema bila kukawia.
[#1]
Sahau wanachosema—badala yake angalia wamefunga ndoa na nani.
“Hii ni njia hakika bila ukosefu, na inakuambia mambo muhimu kuhusu watu ambao huwezi kujifunza kwa njia nyingine yoyote. Chaguo la mtu la mwenzi wa ndoa—au kama hawajafunga ndoa, rafiki wa karibu wa maisha yake yote—linadhihirisha zaidi kuliko chochote anachosema au kufanya hadharani.
“Inakuambia kile wanachofikiria juu yao wenyewe, na kile wanachofikiria kuwa wanastahili maishani (au wataridhika). Ninaamini, ni kiashirio cha wazi zaidi cha vipaumbele na maadili utakayopata.
“Kwa hiyo wakati ujao unapotambulishwa kwa wageni kwenye karamu, na wanaanza kuzungumza biashara, tumia muda angalau kidogo kupima mtu muhimu wao. Usipozingatia hili, utakuwa umepoteza chanzo muhimu cha maarifa, na unaweza kulipa bei ya juu kama matokeo.”
- Ted Gioia anaandika "Mwongozo uliotegemeka wa muziki, vitabu, sanaa, vyombo vya habari & utamaduni" kwenye jukwaa la Substack huko The Honest Broker. Tafakari yake ya mwaka 2021 kuhusu safari yake ya kuafika The Honest Broker iko hapa.
[Asante Ted for kwa kunipa ruhusa ya kutafsiri hii!]
ENGLISH TRANSLATION
Ted Gioia’s 8 Best Techniques for Evaluating Character
“I wish somebody had told me these things when I was younger. I now practice them when I need to get a fast assessment of people I don’t know well.
[#1]
Forget what they say—instead look at who they marry.
“This is a sure-fire technique, and it tells you important things about people you can’t learn any other way. A person’s choice of a spouse—or if they aren’t married, their closest lifelong partner—is much more revealing than anything they say or do in public.
“This choice tells you about their own innermost longings, expectations, and needs. It tells you what they think of themselves, and what they think they deserve in life (or will settle for). It is, I believe, the clearest indicator of priorities and values you will ever find.
“So the next time you’re introduced to strangers at the party, and they start talking business, spend at least a little time sizing up their partners. If you don’t pay attention to this, you will have lost an important source of insights, and may pay a high price as a result.”
- Ted Gioia writes “A trustworthy guide to music, books, arts, media & culture” on Substack at The Honest Broker. His 2021 reflection on his journey to The Honest Broker is here.
[Thank you, Ted, for the permission to translate this!]
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Gioia, Ted. “My 8 Best Techniques for Evaluating Character.” The Honest Broker on Substack (January 18, 2023). Accessed March 20, 2024. https://www.honest-broker.com/p/my-8-best-techniques-for-evaluating