[Scroll down for the English]
KISWAHILI
8 Mbinu Bora za Ted Gioia Kutathmini Sifa ya Mtu Fulani
“Ninatakia mtu angeniambia mambo haya nilipokuwa mdogo. Sasa ninazitumia ninapohitaji kupata tathmini ya watu ambao siwafahamu vyema bila kukawia.
[#2]
Angalia jinsi wanavyowatendea wafanyakazi wa huduma
“Watu hufichua asili zao za kweli wanaposhughulika na wengine ambao hawana mamlaka na hawawezi kamwe kurudisha upendeleo. Wanasikia kinga kutoka kwa matokeo yoyote—kwa hivyo wanatenda bila kujali. Ubinafsi wao wa kweli unakuja mbele.
“Wakati fulani nilikula chakula cha jioni na Afisa Mtendaji Mkuu ambaye alitukana sana hivi kwamba mhudumu aliacha meza kulia machozi na ikabidi mhudumu mwengine kuchukulia nafasi wake katikati ya mlo wetu. Katika tukio lingine, nilishughulika na Afisa Mtendaji Mkuu (tofauti) ambaye, kabla ya mkutano muhimu wa biashara katika hoteli akimzomea mmoja wa wafanyikazi wa huduma kwenye barabara ya ukumbi.
“Nilijifunza zaidi kuhusu watu hawa katika mahali hayo kuliko kutoka kwa chochote walichosema au kufanya katika mazungumzo. Kwa kweli, unaweza usiamini chochote wanachosema kwenye meza ya majadililano baada ya kuwa nao kwenye meza ya chakula cha jioni.
“Kinyume chake, nimeona watu maarufu na wenye nguvu ambao huchukua uangalifu sana katika shughuli zao na wafanyikazi wa huduma. Hii ni moja ya viashiria vya kuaminika zaidi vya uaminifu ambavyo utapata.”
[Asante Ted for kwa kunipa ruhusa ya kutafsiri hii!]
ENGLISH TRANSLATION
Ted Gioia’s 8 Best Techniques for Evaluating Character
“I wish somebody had told me these things when I was younger. I now practice them when I need to get a fast assessment of people I don’t know well.
[#2]
See how they treat service workers
“People reveal their true natures when they deal with others who have no power and can never return a favor. They feel immune and free of all consequences—so they let it rip. Their true self comes to the forefront.
“I once had dinner with a CEO who was so abusive that the server left the table in tears and had to be replaced by a coworker in the middle of our meal. In another instance, I dealt with a (different) CEO who, before an important business meeting in a hotel could be heard outside in the hall screaming at one of the service workers.
“I learned more about these individuals in those settings than from anything they said or did in a negotiation. In fact, you might not trust anything they say at the negotiating table after you’ve been with them at the dinner table.
“In contrast, I’ve seen famous and powerful people who take extraordinary care in their dealings with service workers. This is one of the most reliable indicators of trustworthiness that you will find.”
- Ted Gioia writes “A trustworthy guide to music, books, arts, media & culture” on Substack at The Honest Broker. His 2021 reflection on his journey to The Honest Broker is here.
[Thank you, Ted, for the permission to translate this!]
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Gioia, Ted. “My 8 Best Techniques for Evaluating Character.” The Honest Broker on Substack (January 18, 2023). Accessed March 20, 2024. https://www.honest-broker.com/p/my-8-best-techniques-for-evaluating
I believe he’s right.