Too Many of Us Treat Our To-do Lists as if Anything is Possible at Any Moment
David Kadavy: "[Let us] let go of time worship."
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Wanariadha bora husisimua misuli kabla ya mchezo mkubwa. Hawangetarajia kutoka kitandani na kufanya utendaji wao katika kilele chao. Lakini wengi wetu huchukulia orodha zetu za mambo ya kufanya kana kwamba lolote linawezekana wakati wowote.
“Ingekuwaji saa 3:22 kila Jumatano, hukuhitaji kuamua la kufanya? Ingekuwaje ulisimamia nishati yako kibunifu vizuri hivi kwamba, badala ya kutazama kiwasiwasi kwenye orodha yako ya mambo ya kufanya, ilikuwa dhahiri unachopaswa kufanya wakati huo...
"Wengi wetu sana tunaishi kulingana na orodha ya mambo ya kufanya. Tunaangalia kile kinachohitajika kufanywa, kisha tujaribu kujilazimisha kufanya hivyo. Haishangazi kwa nini, hata ikiwa tuna wakati, ni nadra kwamba tuna nishati. Lakini hali yetu ya kiakili inapopatana na kazi iliyopo, kwa ghafla kila kitu huwa rahisi zaidi…
“[Hebu] tuache ibada ya wakati na tuache kufanya maamuzi kwa sababu ndiyo matumizi bora zaidi ya kila rasilimali isipokuwa nishati kibunifu.”
- David Kadavy, mwandishi wa Marekani na mwandikaji wa mtandaoni ambaye anajitahidi kusaidia watu kuwa na matokeo zaidi wakati ubunifu ni muhimu. Pia, hapa:
.ENGLISH TRANSLATION
“Elite athletes warm up before a big game. They wouldn’t expect to roll out of bed and perform at their peak. Yet too many of us treat our to-do lists as if anything is possible at any moment.
“What if, at 3:22 every Wednesday, you didn’t have to decide what to do? What if you managed your creative energy so well that, instead of staring, puzzled, at your to-do list, it was obvious what you should do at that time...
“Too many of us live by the to-do list. We look at what needs to be done, then try to force ourselves to do it. It’s no wonder why, even if we have the time, we rarely have the energy. But when our mental state is aligned with the task at hand, suddenly everything is easier…
“[Let us] let go of time worship and stop making decisions because it’s the most efficient use of every resource except creative energy.”
- David Kadavy, American author and online writer who strives to help people be productive when creativity matters. Also, here:
.KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Kadavy, David. Mind Management, Not Time Management: Productivity When Creativity Matters. Kadavy, Inc., 2020, pages 32-38. Kindle edition.
Glad your fever broke Louise and Happy Golden Week! Is it Golden because usually sunny too?
True.
Hi M,
It’s “Golden Week” here in Japan. A series of holidays that happen to fall together during usually sunny early May. As usual, I had my list of things to take care of during this precious time off. But last night I came down with a fever. Ok now, but I think it’s a signal time off should be just that.
The things will get done when they align with my mental state!