KISWAHILI
“Miaka 10 au saa 1. Hivyo ndivyo ni vipindi viwili vya muda vinavyostahili kupewa kipaumbele.
“Miaka 10 ni ufupisho wa kufikiria matukio ya muda mrefu...na kufanya mambo ambayo ni ya kutamani au ya maana. Mambo mengi yenye maana sana maishani yanahitaji upeo wa muda mrefu: kujenga biashara, kukuza ndoa yenye furaha, kukuza familia, kuwa fiti bora ya maisha yako, na kadhalika.
“Unafanyaje kazi kuelekea mambo ya miaka 10? Katika ongezeko la saa 1. Saa 1 ni ufupisho wa kufanya mambo ambayo yanaweza kukamilishwa kuanzia mwanzo hadi mwisho katika kipindi kimoja kama mazoezi mazuri, kikao kizuri cha kuandika, kusoma sura ya kitabu, kwenda kwenye miadi ya kufurahisha, nk. Muhimu ni kwamba umalize na kitu ambacho kimekamilika, na siyo kwa nusu ya kazi ambayo bado inangojea kukamilika.
"Ikiwa unatumia saa 1 kufanya kazi kwenye mradi wa miaka 10—na kurudia siku baada ya siku—utaishia kuishi maisha ya kuvutia."
- James Clear, mwandishi wa Atomic Habits na msemaji mkuu
ENGLISH TRANSLATION
"10 years or 1 hour. Those are the two time frames worth prioritizing.
“10 years is shorthand for thinking longer-term…and doing things that are really ambitious or meaningful. Most of the deeply meaningful things in life require long time horizons: building a business, cultivating a happy marriage, growing a family, getting in the best shape of your life, etc.
“How do you work toward the 10-year things? In 1 hour increments. 1 hour is shorthand for doing things that can be accomplished from start to finish in a single session like a good workout, a good writing session, reading a chapter of a book, going on a fun date, etc. The key is that you finish with something accomplished, not with half-work still waiting to be completed.
“If you spend 1 hour working toward a 10-year project—and you repeat this day after day—you’re going to end up living a lovely life."
- James Clear, author of Atomic Habits and keynote speaker
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source):
Clear, James. "3-2-1: Making your habits fun, how to host a good party, and tips for prioritizing." Accessed August 10, 2023. https://jamesclear.com/3-2-1/may-11-2023.
//END
Atomic Habits is a great book!