Tunaweza Kuathiri Matukio, Hatima
Stephen Hawking: Humans tend to look before crossing the road
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Nimeona kwamba hata watu wanaodai kwamba kila kitu kimeamuliwa kimbele na kwamba hatuwezi kufanya lolote kukibadilisha [bado] wanaangalia kabla hawajavuka barabara."
- Stephen Hawking (1942-2018), mwandishi wa Black Holes and Baby Universes and Other Essays (1993)
ENGLISH TRANSLATION
“I have noticed that even people who claim that everything is predestined and that we can do nothing to change it [still] look before they cross the road.”
- Stephen Hawking (1942-2018), author of Black Holes and Baby Universes and Other Essays (1993)
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Stephen Hawking (1942-2018) alikuwa mwanafizikia wa kinadharia, profesa, na mwandishi ambaye kazi yake ilizingatia sifa za mashimo meusi na nadharia ya uhusianifu wa ujumla.
ENGLISH TRANSLATION
Stephen Hawking (1942-2018) was a theoretical physicist, professor, and author whose work focused on the properties of black holes and the theory of general relativity.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Hawking, Stephen. Black Holes and Baby Universes and Other Essays. New York: Bantam Books, 1993, page 124. Kindle edition.
Nimefurahi sana kukuona tena! 😄 (I hope that says, “I’m so happy to see you again!”) Maybe it was predestined. 😉