KISWAHILI
“Kama tukimkubali mtu jinsi alivyo, tunamfanya kuwa mbaya zaidi…lakini tukimkubali anavyopaswa kuwa, tunamwezesha kuwa anavyoweza kuwa.” (1972)
- Viktor E. Frankl, akimnukuu Goethe wakati wa mkutano huko Toronto na wanafunzi juu ya maana ya maisha
ENGLISH TRANSLATION
“If we take man as he is, we make him worse…but if we take him as he should be, we make him capable of becoming what he can be.” (1972)
- Viktor E. Frankl, quoting Goethe during a conference in Toronto with students about the meaning of life
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Viktor E. Frankl (1905-1997) alikuwa daktari wa magonjwa ya akili wa Austria wa kazi zilizo ugunduzi, mwandishi wa kitabu chenye nguvu Man’s Search for Meaning (1958), na mnusurika wa mauaji ya kimbari ya Holokosti.
ENGLISH TRANSLATION
Viktor E. Frankl (1905-1997) was a groundbreaking Austrian psychiatrist, author of the powerful Man's Search for Meaning (1958) book, and a Holocaust survivor.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Parrish, Shane. "Viktor Frankl—Why to Believe in Others." Farnam Street Media. Retrieved March 31, 2023: https://fs.blog/viktor-frankl-why-to-believe-in-others. See the embedded YouTube video of Viktor Frankl (himself!) from 2:18 to 3:37, describing how “crabbing” an airplane into a heading that is different from where one intends to go results in landing at the desired location.
//END