Ugumu wa Moyo wa Mwenye Elimu
Eric Hoffer, working-class philosopher: Education does not naturally waken in us a concern for [others].
KISWAHILI
“Elimu haiamshi ndani yetu utunzaji juu ya wasio na elimu [au wengine]. Tofauti inayotolewa na elimu hudumishwa kwa urahisi zaidi na utengano mkali [mazingira] kutoka kwa wale walio chini kuliko kuendelea kwa ubora wa mafanikio. Wakati Gandhi alipoulizwa na mmoja wa kasisi wa Marekani ni nini kilichomtia wasiwasi zaidi, akajibu: ‘Ugumu wa moyo wa mwenye elimu.’”
- Eric Hoffer, mpakuzi wa bandari, mwanafalsafa, na mwandishi wa Marekani. Dondoo kutoka The Ordeal of Change, 1963, ukurasa wa 38.
ENGLISH TRANSLATION
"Education does not naturally waken in us a concern for the uneducated [or others]. The distinction conferred by education is more easily maintained by a a sharp separation [environment] from those below than by a continued excellence of achievement. When Gandhi was asked by an American clergyman what is was that worried him most, he replied: ‘The hardness of heart of the educated.’”
- Eric Hoffer, American longshoreman, philosopher, and author. Excerpt from The Ordeal of Change, 1963, page 38
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Eric Hoffer (1898?-1983) alipata umaarufu na kitabu chake cha kwanza The True Believer (1951). Kabla ya hapo, na baada ya kuchapisha vitabu kadhaa muhimu vya falsafa, aliendelea tabia yake rahisi na aliishi mazingirini ya watu wa wanaofanyakazi. Alikuwa na hamu kubwa kama msomaji na mwandishi, na vitabu vilikuwa, inasemekana, miliki yake pekee.
ENGLISH TRANSLATION
Eric Hoffer (1898? - 1983) became popular with his first book The True Believer (1951). Before that, and during the several philosophical books he later published, he retained his working-class habits and environment. He was a voracious reader and writer, autodidact, and books were, reportedly, his only possession.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Hoffer, Eric. The Ordeal of Change. New Jersey: Hopewell Publications, 2006 (original 1963), page 38.
This made me stop and think. Education doesn't require compassion. Education doesn't lead to compassion. Where does compassion come from?
This is lovely, Mmerikani. Thank you.