KISWAHILI
“Nguvu ya mwisho ya nchi yetu na sababu yetu haitalala katika silaha zenye nguvu au rasilimali isiyo na kikomo au utajiri usio na mipaka, lakini italala katika umoja wa watu wetu.” - Lyndon B. Johnson (1968)
ENGLISH TRANSLATION
“The ultimate strength of our country and our cause will lie not in powerful weapons or infinite resources or boundless wealth, but will lie in the unity of our people.” - Lyndon B. Johnson (1968)
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Lyndon B. Johnson (1908-1973) alikuwa rais wa 36 wa Marekani kutoka 1963 hadi 1969.
ENGLISH TRANSLATION
Lyndon B. Johnson (1908-1973) was the 36th president of the United States, from 1963 to 1969.
Asante na tutaonana tena,
Mmerikani Mnyenyekevu
Chanzo (source): American Rhetoric. “On Vietnam and Not Seeking Reelection.” (Lyndon Baines Johnson) Accessed April 16, 2023. Audio clip (not the video), 34:14 to 34:33; also on that page and in the PDF download, second paragraph from the bottom of page 7. https://www.americanrhetoric.com/speeches/lbjvietman.htm.