Unachofanya Kila Siku
Kiswahili: “Unachofanya kila siku ni muhimu zaidi kuliko kile unachofanya mara kwa mara.” - Gretchen Rubin
English translation: “What you do every day matters more than what you do once in a while.” Gretchen Rubin
Kuhusu (About):
Kiswahili: Gretchen Rubin ni mwandishi aliyesifiwa sana na mwangalizi barabara wa furaha na asili ya mwanadamu.
English translation: Gretchen Rubin is a highly acclaimed writer and keen observer of happiness and human nature.
Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
Chanzo (source)