KISWAHILI
"Mungu alipomuumba Mwanadamu, alimfanya kutoka kwa vitu vilivyoimba kila wakati na kumetameta kila mahali. Malaika wengine walimwonea wivu na kumkata vipande-vipande mamilioni, lakini bado alimetameta na kuvuma nyimbo. Kwa hivyo walimpiga chini mpaka hakuna chochote ila cheche lakini kila cheche ilikuwa na mwangaza na wimbo. Basi [Malaika] wakamfunika kila mmoja kwa matope. Na upweke katika cheche hizo huwafanya kuwindana wao kwa wao....” - Zora Neale Hurston (1891-1960)
ENGLISH TRANSLATION
"When God had made The Man, he made him out of stuff that sung all the time and glittered all over. Some angels got jealous and chopped him into millions of pieces, but still he glittered and hummed. So they beat him down to nothing but sparks but each little spark had a shine and a song. So they [the angels] covered each one over with mud. And the lonesomeness in the sparks make them hunt for one another….” - Zora Neale Hurston (1891-1960)
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Zora Neale Hurston (1891-1960) alikuwa Mmarekani aliyekuwa mwanaanthropolojia, mchunguzi wa hekaya za umma, na mwandishi aliyehusishwa na Mwamko wa Harlem. Wasifu yake pia ni hapa.
ENGLISH TRANSLATION
Zora Neale Hurston (1891-1960) was an American anthropologist, folklorist, and writer associated with the Harlem Renaissance. She is also profiled here.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Hurston, Zora Neale. Their Eyes Were Watching God. Toronto: Pressbooks, 1937 edition, 83. Pressbooks Public Doman Core Collection. Retrieved on June 11, 2023 from (SCROLL DOWN to read or download contents): https://pressbooks.library.torontomu.ca/theireyeswerewatchinggod.
//END