Waandishi Huandika Kuwasiliana na Kuathiri Watu Wengi Iwezekanavyo
Edith Grossman (1936-2023): Writers write to communicate with, and affect, as many people as possible.
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Moja ya sababu nyingi ambazo waandishi huandika—ingawa siyo pekee—ni kuwasiliana na kuathiri watu wengi iwezekanavyo. Tafsiri hupanua nambari hiyo kwa kasi, kuruhusu wasomaji zaidi na zaidi kuguswa na kazi ya mwandishi. Kwa waandishi ambao lugha lao la kwanza lina kikomo wa idadi ya watu wanaolizungumza [pengine lugha lisilo Kiingereza], halafu tafsiri ni lazima ili kufikia hadhira wa ukubwa na umuhimu [labda kumsaidia mwandishi kuleta kazi yake katika Kiingereza].
- Edith Grossman (1936-2023), mfasiri wa fasihi, mtetezi wa tafsiri, na mwandishi wa Why Translation Matters (2010).
ENGLISH TRANSLATION
“One of the many reasons writers write—though certainly not the only one—is to communicate with and affect as many people as possible. Translation expands that number exponentially, allowing more and more readers to be touched by an author's work. For writers whose first language is limited in terms of how many people speak it [perhaps one that is not English], translation is indispensable for achieving an audience of consequential size [perhaps helping an author translate their work into English].”
- Edith Grossman (1936-2023), literary translator, translation advocate, and author of Why Translation Matters (2010).
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Edith Grossman (1936-2023) alikuwa mfasiri mashuhuri wa fasihi wa waandishi muhimu wa lugha ya Kihispania na mtetezi wa tafsiri, akisisitiza watafsiri waweke majina yao pamoja na mwandishi asilia kwenye jalada. Alikumbusha kila mara tasnia ya uchapishaji na wasomaji kwamba tafsiri huwaruhusu wasomaji kupata uzoefu wa fasihi ya nchi na tamaduni zingine. Alijaribu kuinua jukumu muhimu la kutafsiri katika kitabu chake kilichochapishwa na Yale University Press, Why Translation Matters (2010).
ENGLISH TRANSLATION
Edith Grossman (1936-2023) was a renowned literary translator of famous Spanish-language authors and a translation advocate, insisting translators have their name on the cover with the original author. She continually reminded the publishing industry and readers that translations allow readers to experience the literature of other countries and cultures. She sought to elevate the critical role of translation in her book published by Yale University Press, Why Translation Matters (2010).
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Grossman, Edith. Why Translation Matters. New Haven, Connecticut: Yale University Press, 2010, location 191-196. Kindle edition.
The skills of a talented translator are crucial for extending the reach of the original work, whether it is into English or one of the other 7,000 languages in the world. How beautiful and complex our human languages are!