Waandishi Hujifunza Ufundi Wao Kutoka kwa Kila Mmoja
Edith Grossman (1936-2023): Writers learn their craft from one another
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Tafsiri, kwa kweli, ni nguvu kali inayoenea kwamba hupanua na hukuza mtazamo wa mwandishi wa mtindo, mbinu, na muundo kwa kumruhusu kuingia katika ulimwengu wa fasihi usiopatikani kwenye utamaduni mmoja wa kitaifa au lugha...waandishi hujifunza ufundi wao kutoka kwa kila mmoja, kama vile wachoraji na wanamuziki wanavyofanya.”
- Edith Grossman (1936-2023), mfasiri wa fasihi, mtetezi wa tafsiri, na mwandishi wa Why Translation Matters (2010).
ENGLISH TRANSLATION
“Translation is, in fact, a powerful, pervasive force that broadens and deepens a writer's perception of style, technique, and structure by allowing him or her to enter literary worlds not necessarily found in one national or linguistic tradition…writers learn their craft from one another, just as painters and musicians do.”
- Edith Grossman (1936-2023), literary translator, translation advocate, and author of Why Translation Matters (2010).
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Edith Grossman (1936-2023) alikuwa mfasiri mashuhuri wa fasihi wa waandishi muhimu wa lugha ya Kihispania na mtetezi wa tafsiri, akisisitiza watafsiri waweke majina yao pamoja na mwandishi asilia kwenye jalada. Alikumbusha kila mara tasnia ya uchapishaji na wasomaji kwamba tafsiri huwaruhusu wasomaji kupata uzoefu wa fasihi ya nchi na tamaduni zingine. Alijaribu kuinua jukumu muhimu la kutafsiri katika kitabu chake kilichochapishwa na Yale University Press, Why Translation Matters (2010).
ENGLISH TRANSLATION
Edith Grossman (1936-2023) was a renowned literary translator of famous Spanish-language authors and a translation advocate, insisting translators have their name on the cover with the original author. She continually reminded the publishing industry and readers that translations allow readers to experience the literature of other countries and cultures. She sought to elevate the critical role of translation in her book published by Yale University Press, Why Translation Matters (2010).
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Grossman, Edith. Why Translation Matters. New Haven, Connecticut: Yale University Press, 2010, location 278. Kindle Edition.
So, does that mean that translators develop their own style and are influenced by the AUTHOR’S style in the original language? I wonder if the translator’s style changes based on the language they are translating. Since our personalities change based on the language we are speaking at the moment, I would guess that this would be the case. Fascinating.