Wakati Jua Linawaka
KISWAHILI
“Wakati wa kutengeneza paa ni wakati jua linawaka.” - John F. Kennedy (1962)
ENGLISH TRANSLATION
“The time to repair the roof is when the sun is shining.” - John F. Kennedy (1962)
Kuhusu (About):
KISWAHILI
John F. Kennedy (1917-1963) alikuwa rais wa 35 wa Marekani kutoka 1961 hadi 1963.
ENGLISH TRANSLATION
John F. Kennedy (1917-1963) was the 35th president of the United States, from 1961 to 1963.
Asante na tutaonana tena,
Mmerikani Mnyenyekevu
Chanzo (source): Miller Center. “January 11, 1962: State of the Union Address.” (John F. Kennedy) Accessed April 16, 2023. Audio, 5:05 to 5:08; also in that transcript download, tenth paragraph. https://millercenter.org/the-presidency/presidential-speeches/january-11-1962-state-union-address.