When We Don't Care Who Gets the Credit
Scottish politician and author M.E. Grant Duff (1829-1906) diary entry
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Hakuna kikomo cho chote kwa kile mtu anachoweza kufanya, kama mtu huyo hajali ni nani atakayetambuliwa kwa hicho."
- toleo ya linginevyo la shajara ya 1863 na Mountstuart E. Grant Duff (1829-1906), mwanasiasa na mwandishi wa Uskoti: “Father Strickland, Mjesuti Mwingereza…aliniambia—’Nimeona, katika maisha yote, kwamba mtu anaweza kufanya wema mwingi, ikiwa hajali ni nani atakaepewa sifa hiyo.’”
ENGLISH TRANSLATION
“There is no limit…to what a [person] can do[,] who does not care who gets the credit for it.”
- a variation of an 1863 diary entry by Mountstuart E. Grant Duff (1829-1906), a Scottish politician and author: “Father Strickland, an English Jesuit … said to me—‘I have observed, throughout life, that a man may do an immense deal of good, if he does not care who gets the credit for it.’”
Asante na tutaonana tena (Thank you and may we see each other again),
Mmerikani
Chanzo (source): Grant Duff, Mountstuart E., 1863 diary entry “There is no limit.” In The New Yale Book of Quotations, edited by Fred R. Shapiro, page 568. New Haven, Connecticut: Yale University Press, 2021. Kindle edition.