[Scroll down for the English]
KISWAHILI
eustress
mkazo wa chanya
[ m-kah-zoh wah chan-yah] (“m” kama “mmm good!” badala ya “em”)]
nomino
mvutano wa kimwili, kiakili, au kihisia unaosababishwa na kitu chanya au na manufaa ya kisaikolojia au kimwili.
ZAIDI KUHUSU EUSTRESS
Ilirekodiwa kwanza minamo 1965-70.
Linatokana na kiambishi awali cha Kigiriki eu-, kinachomaana “nzuri” au “sawa,” na neno mkazo.
Mkazo hutokana na dhiki, “maumivu makubwa, wasiwasi, au huzuni,” ambayo asili yake ni Kiingereza cha Kati.
MIFANO YA EUSTRESS
Kufanya mazoezi kwa kawaida kunaweza kusababisha uzoefu wa eustress, kwani huleta changamoto kwa mwili wako kwa njia nzuri.
Kuanzisha safari peke yake kunaweza kuzalisha eustress, kuchochea msisimko na maendeleo ya kibinafsi.
ENGLISH TRANSLATION
eustress
[ yoo-stres ]
noun
physical, mental, or emotional tension that is caused by something positive or is psychologically or physically beneficial.
MORE ABOUT EUSTRESS
First recorded in 1965–70.
Comes from the Greek prefix eu-, which means “good” or “well,” and the word stress.
Stress comes from distress, “great pain, anxiety, or sorrow,” which is of Middle English origins.
EXAMPLES OF EUSTRESS
Exercising regularly can lead to the experience of eustress, as it challenges your body in a positive way.
Embarking on a solo travel adventure can generate eustress, fueling excitement and personal development.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Dictionary.com. “Word of the Day | eustress.” Accessed April 19, 2024. https://www.dictionary.com/e/word-of-the-day/eustress-2024-04-13. A complementary definition of eustress is at Merriam-Webster.com: ttps://www.merriam-webster.com/dictionary/eustress. Eustress retains a New Word Suggestion status at CollinsDictionary.com: https://www.collinsdictionary.com/submission/17893/eustress.